DMM:Africa x JAPAN.

Ni jambo lililo wazi kwa siku zijazo kwamba kutokana na ongezeko kubwa la watu, Soko la barani Afrika litaongezeka mara dufu.
Sisi tutakuwa kama daraja kati ya Afrika na Japani, huku tukiendelea kutengeneza biashara mpya barani Afrika.
Kazi yetu ni kuhakikisha tunaweka katika uhalisia mawazo na maaamuzi ya watu wa Afrika wenyewe.
Lengo letu ni kuchangia ukuaji na maendeleo ya Afrika, si kupitia misaada, bali kupitia kufanya biashara pamoja na watu wa Afrika.

Mahojiano na Mwenyekiti wa bodi ya DMM, Kameyama Keishi

MITANDAO NDIO KILA KITU

Mjasiriamali anayeendesha biashara 50 barani Afrika na mwenyekiti wa bodi ya DMM Kameyama Keishi, walizungumzia kuhusu umuhimu wa kutengeneza mtandao mzuri katika jamii

interview thumbnail